Msaada: Ili kuinstall window lazima iwe kwenye dvd?

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,281
Jamani wana jf mimi nimedownload windows 8 kama moja ya thread humu inavyosema ila tatizo linakuja jinsi ya kuinstall hii window maana ina ukubwa wa 5.9264GB sasa nashindwa kupata DVD yenye ukubwa huo. ila nauliza kama kuna uwezekano wa kuiinstall ikiwa kwenye computer kama file moja kwa moja na nitafanyeje? ili kuiinstall moja kwa moja? bila kutumia DVD?
Nimeshafanya partition kabisa ya 60GB kwenye hard disk yangu kwa ajili ya hii window 8 nataka niweke ziwe mbili pamoja na window 7 naombeni msada wanajf wenzangu.
natanguliza shukrani zangu.
 
kama mdau hapo juu alivyosema download hyo kitu.
Hivi kweli windows 8 ina gb hizo? Nna shaka na hilo
 
Size za windows ni
64-bit (x64) Download (3.3 GB) Sha 1 hash - 0xD76AD96773615E8C504F63564AF749469CFCCD57

32-bit (x86) Download (2.5 GB) Sha 1 hash - 0x8BED436F0959E7120A44BF7C29FF0AA962BDEFC9

Sasa sijui wewe umedownload nini.
 
Size za windows ni
64-bit (x64) Download (3.3 GB) Sha 1 hash — 0xD76AD96773615E8C504F63564AF749469CFCCD57

32-bit (x86) Download (2.5 GB) Sha 1 hash — 0x8BED436F0959E7120A44BF7C29FF0AA962BDEFC9

Sasa sijui wewe umedownload nini.
hapa ndipo ndipo JF huwa inanipa raha na elimu pia, niliwahi ingia chaka na MS word 2012 siji kusahau
 
Size za windows ni
64-bit (x64) Download (3.3 GB) Sha 1 hash - 0xD76AD96773615E8C504F63564AF749469CFCCD57

32-bit (x86) Download (2.5 GB) Sha 1 hash - 0x8BED436F0959E7120A44BF7C29FF0AA962BDEFC9

Sasa sijui wewe umedownload nini.
mkuu mimi siongelei hiyo release preview ila naongele kitu chenyewe na activator yake iko humuhumu kwenye thread moja hivi imeandikwa windows 8 pro activator eb kicheki hapa kitu chenyewe Windows 8 RTM final professional x86 & x64 [ThumperDC] download
 
kama mdau hapo juu alivyosema download hyo kitu
a101.jpg
 
Tumia flash drive, download hii kitu Windows 7 USB/DVD Download Tool - CNET Download.com itakutengenezea bootable flash drive, kisha boot kutoka hiyo flash.


mkuu hapa bado hujafunguka vizuri hebu fafanua zaidi baada ya kuchukua flash unaweka hiyo tool ya ku boot pamoja na software ya windows ndani ya flash? au unaweka hiyo tools ya ku boot pekeyake halafu baadae unaweka tena flash ya windows pekeyake Kang
 
Last edited by a moderator:
mkuu mimi siongelei hiyo release preview ila naongele kitu chenyewe na activator yake iko humuhumu kwenye thread moja hivi imeandikwa windows 8 pro activator eb kicheki hapa kitu chenyewe Windows 8 RTM final professional x86 & x64 [ThumperDC] download
Mkuu Tangopori nakumbuka niliweka mimi hiyo lakini waweza ku Download moja hizo ziko mbili ya kwanza ni ya 64-bit (x64 na ya pili ni ya https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/330840-windows-8-pro-activator-2.html32-bit (x86 sasa wewe unataka kutmia Windows 8 ipi? bonyeza hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom