Picha hizi nitazitumiaje?

hengo

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
402
50
Great Thinkers habari.

Jamani naomba maujuzi namna ya kuziokoa kisha kuzitumia picha hizi ambazo zipo kwenye digital camera.Tatizo nikuwa picha hizi zinaonekana ukiziview kwenye kamera lakini nikitoa memory kadi na kuweka kwenye PC yangu picha hazifunguki badala yake yanakuja mafaili short cut.Msaada please watalaamu
 
that simply means, there is a possibility your snaps has been compromised by viruses...
otherwise jaribu kuattach file mojawapo hapa jukwaani tuone lina extension ipi
 
nadhani tatizo linaweza kuwa ni virus, ama format ya hizo files. jaribu kuzifungua kwa kutumia kompyuta tofauti. ama sivyo tafuta mtaalamu zaidi akupe ushauri.
 
Jarbu kutumia picassa! Imewasaidia weng sana humu... Tena tatzo kama lakoo
 
nadhan hilo ni tatizo dogo kuna virus anaye hide ma file yako fungua hyo memory card yako then nenda kwenye organise, chagua properties then untick kwenye sehemu iliyo andikwa hide hidden files if not mistaken (sikumbuki neno halisi coz hapa sina pc) halafu apply pics zako zitatokea. Ukisha zihamisha usisahau ku tick tena hiyo sehem maana ukiiacha kuna hiden system files zitaanza jtokeza kwenye desktop na kwenye folders
 
sio kirusi we sio wa kwanza kuja humu jibu ni simple camera inahide picha ili zisifunguke mpaka na software yake na nna uhakika hujaeka cd ya camera na kuinstall software ya hio camera kwenye pc yako.

Cha muhimu tumia picassa kama alivosema nurbert utaziona. Vile ikipop up autorun ya memory card choose view image by picassa
 
Nakushauri Install software hii WebShot Desktop,Then Connect camera yako kwenye PC yenye hyo software automatically software ita detect photos kwenye camera italeta option ya kuzi-save then utazi-save utapota that sit aight?
 
Kuna kaprogram kanaitwa USB Show ni portable na ni kadogo katamaliza shida zako maana picha zipo ila zimefichwa na virus.
Wewe google utakapata na katakusaidia sana. usipate shida kuformat itakugharimu sana kuzipoteza picha zako
 
Back
Top Bottom