Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,709
- 39,789
-jina inaitwa dc 40
-imezinduliwa tarehe 9
-bei kama elfu 20 za kitanzania hadi elfu 25
Hii imetokana na tatizo la umeme kenya kiasi kwamba imefikia stage asilimia 80 ya wakenya hawana umeme. Nokia wameahidi kuzifanyia research zaidi hizo charger na kuna uwezekano baadae simu zinazokuja africa zikawa zinaambatanishwa na sola charge.
Chaja hii yenye uzito wa gram 93 tu inachaji betri ya 1000mah kwa masaa 4 (simu ndogo hazifkishi 1000mah so mda utapungua).
Charger hizi kwa africa zimepelekwa nigeria na kenya kwa majaribio zikifaa tutasamabaziwa na sie.
Imekaaje hii ulaya wanapelekewa wireless charge africa tunaletewa solar charge then naiona inafanana na fatboy pillow wireless charge ya lumia 920/820/810/822