The best laptop! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The best laptop!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Hansy wa East, Oct 10, 2012.

 1. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 449
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Bandugu natafuta laptop iliyo bora kwa matumizi ya kawaida tu sasa ombi langu ni kupewa ushauri kutoka kwa ndugu humu jamvini ni aina gani ya laptop ni nzuri na ina sifa zipi? Pesa niliyonayo ni laki 6 tu natafuta first hand!
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  naona hujapata majibu mpaka sasa maana humu ndani kuna thread nyingi sana za namna hii zinazozungumzia ubora wa laptop na zipi zinafaa na bei zake...jaribu kusearch kidogo utaziona...
   
 3. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 449
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  asante sana
   
 4. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35


  mkuu kama ni matumizi ya kawaida kanunue DELL D630 used roho ya paka ni kama zile pikipiki za yamaha 100 kwa shs.400,000/=
  zenye speed ya 2.00 GHz na ram ya 2GB inatosha kwa matumizi ya kawaida na hizo laki mbili kimbiza benk faster kwa ajili ya akiba itasaidia baadae kabla hayaja tokea matumizi mengine
   
 5. Mtali

  Mtali JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 2,230
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Ni kweli Dada Fatma, I appreciate Ur concern...
   
Loading...