Help please!!!

Platnam

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
767
1,211
Yeyote anayetumia FIFA 13 kama anaweza kutatua tatizo la ku launch hii game naomba msaada wake.
Tatizo ni kwamba baada ya ku install halikubali ku launch..
 
download launcher zipo kibao just google tu itakua na icon ya FIFA na extension ya .exe

Google mfano huu

''fifa 2013 launcher''
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom