Fundifundisho
Member
- Jan 11, 2011
- 77
- 18
Natumia TECNO T501,
inazingua kufungua JF nikimaliza log inn inagoma inanirudisha nyuma yaani haikubali ku log in.
naweza kusoma post za wengine ila mimi kuandika post haikubali,pia haikubali ku download operamin.