IDM yangu haidownload kwenye youtube | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IDM yangu haidownload kwenye youtube

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Jeff, Sep 26, 2012.

 1. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wadau, naombeni msaada, IDM yangu hailet option ya kudownload nikitakakudownload mziki au move yeyote kutoka youtube, msaada tafadhali
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  vitu vyengine inadownload?

  Nenda idm click option then angalia kama browser yako ipo intergrated. Utakuta list ya browser kama haipo intergrated click kuieka.
   
 3. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ndio mkuu,vitu vingine inadownload isipokuwa video za youtube
   
 4. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  nimeangalia, nimekuta imepigwa tick,it means iko intergrated but haidownload
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  Haya nenda na kwenye browser click menu tafuta kitu kimeandikwa ads on kaangalie kama idm ipo enabled
   
 6. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  browser gani nifungue mkuu? kwenye mozilla au IDM? sijakuelewa hapo mdau
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  Idm sio browser, browser ni mozilla katika mozila click menu then ads on utaziona nyingi tu tafuta idm then angalia kama ipo disabled ienable
   
 8. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  dah mkuu sijakuelewa maana nimeangalia hiyo option kama ulivyosema hapo ads, nikiclick inafungua page mpya
   
 9. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  Yah lazma ifunguke new tab myself nilivoupgrade version mpya ya mozzila automatic idm ikadisable wakasema havipo compatible

  So we click hapo then angalia katika hio list idm ipo?
   
 10. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mara nyingi tatizo hilo linasababishwa na kui cancel IDM isi download ktk page uliyo fungua kwa mfano unapo fungua youtube na uka play music IDM inajitokeza kwa ajili ya ku download na kwa kuwa wewe hukutaka ku download uta i cancel na ukifungua tena labla nyimbo nyengine IDM itakuja tena na wewe uta i cancel ukifungua tena nyimbo nyengine ikija ukii cancel basi hapo IDM ina chukua website ya hiyo page ulio fungua kama ni youtube ina enda kuiweka ktk list ambayo inajuwa mimi sihitajiki kwenda ktk website ile kwahiyo cha kufanya fungua IDM yako ingia download nenda option


  idm.jpg


  ingia hapo file types

  idm 2.PNG

  ingia hapo Edit list

  idm3.PNG

  sasa hapo IDM ndio anakuja kuweka list ya website ambazo yeye hatakiwi kufika sasa tazama youtube kama ipo delete restate computer
  jaribu huenda hilo ndio likawa tatizo lako
   
 11. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  useful one umetishaa
   
 12. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35


  thanks
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Fatma Bawazir nimegundua kuwa mozilla version 15 imefanyiwa madudu isi download kutoka IDM njia zote hizo hazisaidii kitu... fuatilia mwenyewe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  @kaa la moto hacha siasa bana Mbona, mm nakamua version 15.0.1 kama kawa?
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Hongera Mtaalam bibie Fatma Bawazir
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Fatma Bawazir sijui mie nakosea wapi maana kote huko nilishapita na nimeshaangalia hata kwenye ile list sioni utube kama emezuiliwa lakini inaelekea haikubali sasa ni nini?
  Nimeangalia kuna add-on moja ya IDM kwenye mozilla imekuwa disabled by default ebu nambie hapo mie nakosea wapi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Sasa unatakiwa ui-enable tu utakuwa umemaliza kazi
   
 18. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hamna, wamefinya ile kitu (add-on) na huwezi kuifanyia function yeyote au badiliko lolote!
   
 19. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  mia.....
   
 20. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  Ur right mkuu idm na mozilla mpya haziendani na antvirus mpya pia zinaidaka idm kama software ambayo sio trusted (mpaka uieke manual kama trusted).

  Solution ni kudonwload idm mpya (najua unapata notification ya ku update ila unaogopa maana umecrack hio idm) so download mpya na crack mpya au tumia google chrome haina neno na idm za zamani
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...