Open tafadhali-cosmos rays | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Open tafadhali-cosmos rays

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by john hotsam da1, Oct 10, 2012.

 1. j

  john hotsam da1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 385
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Inasadikika leo saa 6:30 mpk 9:30 miale ya cosmo itaingia duniani ktk sayari ya mars.Hivyo zima simu yako na weka mbali nawe usilale nayo kwasababu miale ni hatari chanzo cha habari ni BBC NEWS TAFADHARI WAPE TAARIFA NA WENGINE.  nimetumiwa na mtu,je kuna ukweli????

  ingia HAPA
   
 2. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Hii taarifa kila siku inaletwa hapa..
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,236
  Likes Received: 5,408
  Trophy Points: 280
  mleta mada mara ya mwisho kuingia humu ilikuwa lini!
   
Loading...