Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habari zenyu banaaa., Ebana naombeni mnisaidie, nataka kujua kama Tanzania now kuna makampuni ambayo wanatoa huduma ya Internet ya 4-Generation. Kama yapo, ni kampuni gani hiyo?
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wadau naombeni mnisaidie mifano ya programming languages zinazoangukia katika makundi yafuatayo 1. 1.EVENT DRIVEN LANGUAGES 2. 2. OBJECT ORIENTED LANGUAGES 3. 3. STRUCTURAL...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wasaalamu nina simu ya htc chacha touch screen yake imegoma gafla ingawa keypad zake zinafanyakazi kama kawaida mwenye ujuzi na haya mambo anipe maelekezo ni tatue tatizo au anielekeze fundi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni ya Zantel, ni s/n: KT7NAB1942200612. Itumie vodacom
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau,niaje? kuna Njia Rahisi Ya Ku hack your Nokia Symbian phone To avoid Certificate Errors Once you hack your phone Utaweza kuingia Signed and Unsigned Apps..So kama Unataka i can help you ni...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau, kuna mtu hapa anaweza kunisaidi kuinstall software ya Blackberry niliyotaja, nataka ku upgrade simu yangu Nitamlipa, niko Dar, kama unaweza tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
916 Views
Nina scrits (clones) za website kama youtube, myspace na twitter. Kwa mwenye scripts nyingine naomba tufanye mbadilishano hapo.. (barter trade)
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshma kwenu wadau.Nimeweka window xp kwenye computer yangu then nkaweka vlc na windo media zimekubali kuwa installed ila tatzo haziplay movies wala music.Nifanyeje? Ushauri naomba.Asanten
0 Reactions
5 Replies
824 Views
Kwa heshima wanajamvini naomba msaada wa list au majina ya EDUCATIONAL COMPUTER GAMES ambazo naweza kudownload kwa kupita utorrent au vinginevyo na game hizo ziwe zinawafaa watoto wa kuanzia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kuna mtu anataka kuchkua notebook used..sa ananiona mi ndo mtaalam kichz so ananambia nikamhakikishie kama ni nzuri/bora ama la kabla hajachukua ili asiende chaka.. Sa naombeni...
0 Reactions
3 Replies
884 Views
Kwa sisi tusiyo na uwezo wa kununua LED TV's,JE KUNA Mtu anayefahamu UBORA WA ZEC TV? Hasa matoleo ya kisasa ambazo hazina tube kubwa nyuma. Kwa ambaye anafahamu uzuri na mapungufu yake tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
WAKUU KWANZA NIWAPENI POLE KWA UCHOVU WA KAZI. WAKUU NINGEPENDA KUELEKEZWA NI KING'AMUZI GANI NINACHOWEZA KUPATA Tv ZOTE ZA KIBONGO kabla sijafanya manunuzi. Tafathalini msaada wenu.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nina fllash xbox 360 console kuwezesha console yako kucheza game za copy. Unaweza kudownload games toka GamesTorrents - Bittorrent Juegos PC PS2 PSP XBOX360 na kuzi burn mwenyewe kutumia Dvd za...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Wakuu mambo vp? Kuna hii yotube nimeidownload kwenye simu yangu ya samsung gt 5830i ninaitumia kudownload nyimbo na muvi ila tatizo lake ni kuwa inapodownload haiumalizi kabisa wimbo au inagoma...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Last Thursday, Judge Richard Posner in Chicago federal court canceled Apple's long-awaited trial against Google Inc's Motorola Mobility division, which makes devices powered by the Internet...
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Is it possible to receive Tanzania television channels in England especially in London, and if so, how to connect and who does the connection?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji cd ya window
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mwenye maujuzi tujuzane how can i use my car kufua umeme kwa house yangu if possible... na garama je? senks
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Usihofu kama umepoteza funguo na haupo karibu na rimote yako ya pikipiki au gari. Unachotakiwa kufanya ni kumpigia simu mtu alite nyumbani na umuambie achukue rimoti ya pikipiki au gari yako na...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Download Movies, Games, Software and other Pia inauwezo wa pause and resume Just click Express Files for download
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom