Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Jamani naomba mnijuze kuhusu AFROIT-ICT Kijiji mbona siipati? Kama wamebadili name n.k naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepata ujumbe (Email) kwenye computer yangu ambao baada ya kuufungua na kuusoma niligundua ni Spam. Hii siyo shida. Tatizo ni kwamba nilipokuja kufungua tena email yangu baadae, nilikutana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kuna software au any trick ya ku solve hli tatizo.. ili iki disconnect iweze connect yenyewe.. masada plzzz!!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Natafuta orginal kick ya pikipiki ya XLR 250 kwa bei nafuu anae jua wapi naweza kuipata au anayo please anijulishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
How to connect internet with my nokia x2
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Simu ni aina ya Nokia C3. Browser la simulinatoa response "service not allowed" kila nkijaribu kudownload. Nifanyeje jamani?
0 Reactions
5 Replies
964 Views
*#06# To check the IMEI. *#0000# To check the firmware version and date *#92702689# *#war0anty# To check the IMEI. The date when it was purchased and the date when it was repaired. *4720#...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Ni vema sana kusikia hata kwa kias kidogo Africa Mashariki kuna watu wanaoweza kutengeneza Vitu ambavo hapo Zamani ilikua ni ngumu kusikia vimetengenezwa Africa Mashariki. Wailianza kutengeneza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The Recording Industry Association of America's CEO, Cary Sherman, testified before Congress today on "The Future of Audio." Although the minutes of the hearing aren't yet available, Sherman did...
0 Reactions
10 Replies
320 Views
specification ni nini? na ni zipi hizo? saidia
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wakuu, natafuta external hard disk yenye ukubwa wa 500GB kwa bei nafuu, kama kuna mtu anauza, au kujua mahali naweza pata nzuri na kwa reasonably cheap price.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
THIS I FOR DUCATIONAL PURPOSE AM NOT LIABLE FOR ANYRYHING Ok guys najua wengi mnapenda taaluma ya kuhack facebook well nimeamua niwamwagie hiv vi2 FOR EDUCATIONAL PURPOSE. Well its easy njia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
zipange kwenye ms word ascending iwe kwa rows AU descending # 12 23 45 34 54 87 78 56 naomba njia uliyotumia
0 Reactions
4 Replies
895 Views
Wataalamu nitapate wapi picha za kuchezacheza ili nami nipachike kwenye Facebook au JF account.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Apple the company behind the highly successful iPhone and iPad are having a “World Wide Developers Conference” event today at 7:00 PM Dar es Salaam night time. Rumors are that they are...
0 Reactions
5 Replies
990 Views
Katika kile kinachoonekana kukabiliana na uharamia, tigo wameamua kupambana na uchakachuaji wa modem zao kwa kubadili firmware ya modem hzo na kufanya kaz ya kuchakachua kuwa ngumu kdogo. Kwan kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
kama mjuavyo kudownload video youtube imekuwa sio rahisi kwa wengi wetu, especialy kwa watumiaji wa simu sana sana Operamini. nwys katika pita pita yangu nimepata ki2 hki mfano: unataka...
3 Reactions
Replies
Views
Mwenye hii OS anisaidiee nilikuwa naitumia ni nzuri sana ila computer imeloga
0 Reactions
4 Replies
757 Views
Simu yangu ni Nokia 5700 nauliza kama ninaweza kuchek tv kwenye simu na taratibu za kufuata samahanini kama heading yangu itakuwa imekaa vibaya tafadhal nisaidieni
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Wataalamu wa Tech hebu niambieni mtu akiwa na Decoder ya DSTV south africa au kenya kwa mfano akailipia mwaka mzima akaamua kuja nayo tz... inakuwaje? lazima aripoti dstv TZ? lazima alipe upya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom