Sumsung Galaxy S III 19300 Memory Problems

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
40
Hi Great Techs,

Nimenunua simu Sumsung Galaxy S III 19300 toleo la June mwaka huu. Nimeiangalia na kuchunguza features zake na functionality inaonekana ni genuine ila kuna kitu kimoja ambacho sikioni, ambacho ni inbuilt/internal memory. Kwani internal memory yake ni ndogo mno chini ya mb 1 wakati specs zinasema: Internal memory 16gb (extendeble to 64gb) + microSD card slot ambayo inasupport up to 64gb of extra memory. Simu imetumwa kutoka nje, kabla sijaanza kuwauliza wahusika, nimeona niwaulize nyie kwanza.

Naombeni msaada kwa yeyote ambaye anaweza kuwa na idea na hili tatizo. Je inawezekana kuwa baadhi ya features ni locked?

Natanguliza shukrani.

classics
 
nenda settings storage alafu soma total space pale juu 16 gb huwa na 11 au 12 gb free.
 
mkuu sio mchina huyo? Maana michina ndo inakua hivo phone memory chini ya 1 mb

Kwa sababu ni mpya hebu hakikisha haya

-ikikaa sana inasema swipe key to unlock
-ina home screen 6 ukiswipe zinajichange kama 4 zinakua empty moja ina music player 1 itakaa icon kama 2 za application.
-click google play je yakupeleka sehemu za app za google? jaribu kudownload hata 1
-nenda setting then about ina android version 4?
-then sg3 lazma ikiingia tu internet itakupa notification ya software update (jelly bean)

Hebu angalia hivo
 
Samsung doesnt have "locked features" unlike iphone.

Nenda katika phone menu, settings, storage..uangallie memory vizuri...lakini pia unaweza wenda katika
Menu- Settings-About phone...angalia kama ina-run Icecream Sandwich (ICS).. bse all SIII run that OS.

Galaxy SII upgrading to ICS inapunguza internal memory lakini si kwa built in version(SIII)..
 
Dah Hata mimi pia Nilikumbana Nayo feki.SEMA NILIUZIWA 50ELFU NIKAJUA NIMEPATA KUMBE NIMEPATIKANA
 
mkuu sio mchina huyo? Maana michina ndo inakua hivo phone memory chini ya 1 mb

Kwa sababu ni mpya hebu hakikisha haya

-ikikaa sana inasema swipe key to unlock
-ina home screen 6 ukiswipe zinajichange kama 4 zinakua empty moja ina music player 1 itakaa icon kama 2 za application.
-click google play je yakupeleka sehemu za app za google? jaribu kudownload hata 1
-nenda setting then about ina android version 4?
-then sg3 lazma ikiingia tu internet itakupa notification ya software update (jelly bean)

Hebu angalia hivo

Mkuu,

1. Ikikaa baada ya seconds inasema kwa chini (bottom) "Slide To Unlock" (inalock na kuaunlock with click sound)

2. Ina home screens 6, unazipata kwa kuclick dots sita ambazo ziko kwa chini, kila ukiclick home screens tatu zinatokea kwa kujichanganya

3. Applications zipo nyingi, nikiclick kwa mfano skype na zingine naambiwa insert memory card, au memory not enough; mara insert T-Flash, au T-Card, inategemea na app ninayotaka kulaunch

4. Najua inatakiwa iwe inarun Android os 4.0.4 (Ice Cream Swandwich), lakini ni os gani inarun wala mpaka sasa sijajua, nimeangalia weee, wapi!

Vitu vinavyofanya kazi, ni kamera ipo nzuri sana, FM radio, kupiga, kupokea, texting, swiping interface ipo vizuri. Inaoneka hivyo hivyo physically kama nilivyoiona ikielezewa na watu mbalimbali Youtube na kusoma tech reviews.

Kama wamenidanganya, duh, wachina kiboko! Najiuliza ikiwa nitaweka MicroSD itaweza kuprocess apps mbalimbali?
 
Angalia IMEI yake halafu verify kwenye mtandao.

Yeah, hiyo ndio itanithibitishia kwamba hii simu ni feki, aisee! Ngoja nitafute link. Sasa hivi nikitaka kununua hivi vitu nitaenda mwenyewe dukani physically.
 
Samsung doesnt have "locked features" unlike iphone.

Nenda katika phone menu, settings, storage..uangallie memory vizuri...lakini pia unaweza wenda katika
Menu- Settings-About phone...angalia kama ina-run Icecream Sandwich (ICS).. bse all SIII run that OS.

Galaxy SII upgrading to ICS inapunguza internal memory lakini si kwa built in version(SIII)..

hippocratessocrates, ndio huwa hazina locked features. Kama hiki kitu ni feki basi aliyeiga hafai, maana naiangalia hapa lkn bado siamini!
 
Ni kweli mkuu classics, Pole but unaweza kutambua if it was a real deal by it's specifiation..weight, length, width, and settings esp Google play and Camera settings..etc..fake ni nzito, fewer settings and zinahitaji kutumia "button on the screen" unlike the originals.
 
Mkuu,

1. Ikikaa baada ya seconds inasema kwa chini (bottom) "Slide To Unlock" (inalock na kuaunlock with click sound)

2. Ina home screens 6, unazipata kwa kuclick dots sita ambazo ziko kwa chini, kila ukiclick home screens tatu zinatokea kwa kujichanganya

3. Applications zipo nyingi, nikiclick kwa mfano skype na zingine naambiwa insert memory card, au memory not enough; mara insert T-Flash, au T-Card, inategemea na app ninayotaka kulaunch

4. Najua inatakiwa iwe inarun Android os 4.0.4 (Ice Cream Swandwich), lakini ni os gani inarun wala mpaka sasa sijajua, nimeangalia weee, wapi!

Vitu vinavyofanya kazi, ni kamera ipo nzuri sana, FM radio, kupiga, kupokea, texting, swiping interface ipo vizuri. Inaoneka hivyo hivyo physically kama nilivyoiona ikielezewa na watu mbalimbali Youtube na kusoma tech reviews.

Kama wamenidanganya, duh, wachina kiboko! Najiuliza ikiwa nitaweka MicroSD itaweza kuprocess apps mbalimbali?

Brother hadi hapo ni mchina

1. Sg3 haisemi slide to unlock inasema swipe
2.haiji na built in skype
3.ukiswipe inatokea sauti ya maji sio click sound
4.ukinavigate through home screen hamna vidoti mpaka menu screen
5.haihitaji memory card kurun application

Nakushauri tafuta memory card then download mafile ya java 320x480 ndo simu za kichina za kisasa zinatumia
 
ukowa mkuu! inaonekana jamaa kauziwa sio. lakini neno swipe screen to unlock hili linakuwapo na chini yake kuna icon ya call,browser na kamera.hii simu nanayo wiki ya pili sasa tayari nimei root na nimitoa ics nimeweka cyanogyn 10.
 
Back
Top Bottom