Diode

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Nakumbuka ilipokuwa chuo, njia moja wapo ya kuangalia continuity ya circuit ilikuwa ni pamoja na ku-test terminal za DIODE.
Kitu ambacho huwa najiuliza ni kwamba ile tone ambayo hutokea kama polarity za diode ziko kinyume huwa inatoka wapi?
How does the doide produces that tone?
Msaada wenu unahitajika wataalamu.
 
jaribu kuelezea kwa kina kidogo.

1. circuit ya nini (maana si kila circuit ina diode)

2. Unapima continuity ya hiyo circuit kwa kutumia nini(i.e multimeter, CRO, simple LED etc)

3. Lengo la kupima continuity ni nini (je kupima functionality ya diode pekee ama ya circuit nzima.?)
 
diode does not produce that tone. wala hakuna uwezekano huo. kwani diode ni kipande cha semiconductor tu. P na N junction zimewekwa pamoja. kama umekusudia tone inayotoka kwenye multimeter, hiyo multimeter yenyewe ndio ina loudspeaker.
 
Back
Top Bottom