Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

wadau naomba mtu anielekeze namna ya kupata photoshop cs5 au anitumie setup yake, naomben sana msaada.
0 Reactions
2 Replies
771 Views
wana jf habari zenu kwa mpigo.....naomba mwenye serial za hii software inaitwa business in a box anipatie nitamshukuru.....
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Nina shida sana na Nitro PDF,nilifanikiwa kudownload file lenye program hiyo kutoka Media fire ambapo niliunganishwa na website hii www.kimsoftwarecrack.com/. File hilo lipo compressed na zip...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
wadau naomba kujuzwa jinsi ya kudowload youtube zilizopo kwenye site nyingi kama video za muziki na nyingine nikifungua tube sioni sehemu ya kudowload hiyo tube
0 Reactions
Replies
Views
Amazing and incredible! I tried the test version and think it is absolutely awesome. Internet has come really a long way these days. A few years ago I wouldn't have believed that technical advance...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau henu mnisaidie jinsi ya kuondoa index.php kwenye url za joomla sites, mi zinaniboa coz they r not user and search engine friendly,,, eg www.joomlasite.com/index.php/forums kama kuna anayejua...
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Startup Repair is an extremely useful tool which you are able to use from the Windows 7 boot CD, which allows you to repair damaged installations. Problems such as corrupt MBR, missing files and...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau nimejaribu mara kadhaa ku-install Office 2007 lakini inakataa. Baada ya ku-load for some time inaandika ' can not find Office-en-us/msvcr80.dll file'. Os ninayotumia Win 7. Naomba msaada wadau.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajanja wa hii shunghuli naombeni msaada je nitawezaje kutumia moderm ya tigo kwa lini zote
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Want to Delete your Facebook account and No longer Exist in Facebook?. Now i think this will Help CLICK HERE
3 Reactions
13 Replies
2K Views
anayehitaji flash disk mpya 4gb- 10,000/- 8gb- 15,000/- ani pm kwa watu wa dar
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za mida hii wanafamilia, naombien msaada wa activation key za; karpersky 2012 office 2012 asante:israel:
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Naomba maelekezo ya kutengeneza document in pdf format.Nimehangaika nimeshindwa nika0‹2a niwashirikishe wadau wa technology hapa. Pia naomba kuelekezwa steps za kuweka window kwenye...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
wana Janmv naomba msaada namna ya kusikiliza radio kwenye net nime download na kuinstall radio rage lakini nashindwa kusikiliza local radios online chanels zinakuja lakini uki click play hamna...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
l
​My laptop is toshiba satellite A205-S5803 SYSTEM UNIT. It is installed windows 7 ultimate. By the time being has problem of not responding as soon as when it is plugged with its adapter...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Msaada wandugu nadhani hacker wanaweza kuwa wamenitembelea. Kila nikifungua napata msg hii Please complete a security check No verification methods are currently available. Please come back later...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Kama unatumia google mail au chrome na unapata shida ya ku attach basi badili na tumia Internet explore
0 Reactions
0 Replies
613 Views
ebu tusaidiane hapa...ingekuwa wewe hapo ungefanyaje?
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Microsoft Internet Component Download (MSICD) is a system service for downloading and installing software from Web sites on the Internet and intranets. This section contains a list of articles...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Software can be regarded as collection of computer programs which provides the instruction to a computer, it can also be defined as an entity which is a set of computer programs. There are various...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Back
Top Bottom