Mzinga njia ulizojaribu ndio zinazotumika. Kama fn na hizo button za mwanga hazikusaidii basi tatizo linaweza kuwa drivers za hizo "touch pad" hakikisha driver zipo updated. Je, Ukipunguza sauti kwa kutumia fn na button za sauti sauti huwa kuna mabadiliko yoyote? kama hakuna basi kutakuwa nashida kwenye drivers. Pia hujasema hiyo Toshiba ni model gani na unatumia OS gani. Unaposema huioni brightness control unamaanisha nn wakati umesema kabisa kwamba unabofya fn na key za brightness.
Wakuu nina Toshiba laptop napata shida sana na mwanga.Nimejaribu Fn na ile symbol ya mwanga hai respond chochote.Nimeenda kwenye Power option nako sijafanikiwa.Naombeni msaada wenu wakuu.Muda si mrefu itabidi ninunue miwani