Msaada wa kuaunlock samsung T S5300

Mshuwa

Member
Apr 3, 2012
46
0
Wakuu naomba msaada wa kuaunluck simu yangu ya imejilock baada ya kubonyeza pattern zaidi ya mara tano.na kila nikijaribu inaniomba kuweka gmail account yangu ambayo siikumbuki.leo napokea simu yoyote ninayopigiwa ila mimi siiwezi kusoma wala kupiga.
 
Top Bottom