Dish & KU band

PongLenis

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
427
133
wanabodi habari yenu! mimi ni mgeni kabisa katika haya maswala ya dish naomba mniweke sawa kidogo nina maswali yafuatayo katika huu ulimwengu wa FTA

1 ) what is KU Band na C band ...?

2) Je kuna dish ambazo zinadaka moja ya hizo tajwa hapo juu kwa pamoja..?

3) Je size ya dish ni muhimu ." does the size matters"

4) Dish ukubwa gani mnanishauri ni nunue .. targets yangu sio channels za kibongo ... sina mzuka nazo...

5) Je nikitaka mawimbi ya astra naweza kuyapata tzn!

Mwisho - natoa ushauri kwa mods waweke sticky topic inayozungumzia maswala ya ving'amuzi na ulimwengu mzima wa FTA ... ikiwezekana kupeana mautundu kidogo maana watanzania tulio wengi tulizoea antena chadema zile haya mambo ya madish ni mapya!

Invisible
naomba uufanyie kazi huu ushauri please
 
tafuta humu humu kunamtu alishaongelea hilo ngoja nijaribu kama ntafanikiwa maana na tumia simu nikuwekee..
 
Kwa Ku na C Bands
Ku na C band ni bands kama majina yake, but Ku ni modern kuliko C band na Ku band ina nguvu zaidi ya C band,kunasa Ku signals lazimazima uwe na Ku Band LNB na kunasa C band signals lazima uwe na C Band LNB, inalazimu kuwa na Dish kubwa kunasa signals za C band nashauri dish la futi 8, lakini kwa Ku band mambo mdundo hata ki dish kidogo tu ina shika bila chenga(mfano DSTV wanatumia Ku band),
mengine yameongelewa sana humu, tafuta uzi ulio andikwa ULIMWENGU WA FTA mengi zaidi utayapata huko.
 
sio kila thread inawekwa sticky, kuna criteria, labda ntawapa taarifa wakubwa wangu kuhusu ombi, ila sticky thread za jukwaa hili mostly ni kwa ajili ya kutoa taarifa kwa wasomaji,

badala yake, unaweza tumia search feature kutafuta inachohitaji kabla hujaanzisha thread, humu maswali mengi yanajirudia rudia

sawa! ila nili serch sana napata results za ajabu hadi nikaamua kuanzisha thread ... nimekusoma! ila tunahitaji hiii elimu ya FTA na madish sio wote tunajua haya mambo.. mtu akiikuta imekaa pale juu inakuwa rahisi ..

siku njema
 
dish ya c band ni mfumo wa zamani . Hila inauwezo wa kushika chanel za ku pia mawimbi yake ayahasiliwi na jua au mvua unaweza kuitumia hata kwenye kuvuta data (intenet) na dish ya ku yenyewe ni moden ila haishiki chanel za c band .inauwezo wa kushika chanel kwa kwa saizi ndogo kabisa ya dish hata kama ft 1 (inategemea na sateliti.) wakati wa mvua au mawingu mengi inakua shida hasa kama signal yako ukuseti vizuri. ku inaitaji eneo dogo tu kuifunga sio ka c band ukitaka kufunga mpaka umwombe baba mwenye nyumba wako. Chanel nyingi za bongo hazishiki kwenye ku dish
 
sio mbaya,umejitahidi mkubwa. Ila ntarudi hapa nikipata muda.
 
Kwa Ku na C Bands
Ku na C band ni bands kama majina yake, but Ku ni modern kuliko C band na Ku band ina nguvu zaidi ya C band,kunasa Ku signals lazimazima uwe na Ku Band LNB na kunasa C band signals lazima uwe na C Band LNB, inalazimu kuwa na Dish kubwa kunasa signals za C band nashauri dish la futi 8, lakini kwa Ku band mambo mdundo hata ki dish kidogo tu ina shika bila chenga(mfano DSTV wanatumia Ku band),
mengine yameongelewa sana humu, tafuta uzi ulio andikwa ULIMWENGU WA FTA mengi zaidi utayapata huko.

dish ya c band ni mfumo wa zamani . Hila inauwezo wa kushika chanel za ku pia mawimbi yake ayahasiliwi na jua au mvua unaweza kuitumia hata kwenye kuvuta data (intenet) na dish ya ku yenyewe ni moden ila haishiki chanel za c band .inauwezo wa kushika chanel kwa kwa saizi ndogo kabisa ya dish hata kama ft 1 (inategemea na sateliti.) wakati wa mvua au mawingu mengi inakua shida hasa kama signal yako ukuseti vizuri. ku inaitaji eneo dogo tu kuifunga sio ka c band ukitaka kufunga mpaka umwombe baba mwenye nyumba wako. Chanel nyingi za bongo hazishiki kwenye ku dish

sio mbaya,umejitahidi mkubwa. Ila ntarudi hapa nikipata muda.

wakuu tatizo jingine katika harakati za kununua dish online nimepewa hizi choice na mimi sina ufahamu ipi nichague

We can produce satellite antenna :

1. KU35/KU45/KU60/KU75/KU80/KU90/KU120

2.C150/C180/C240/C300

3.Mesh dish :C180/C240/C300

4.C-KU120

Mount Type:pole / Wall Mount/Ground Mount
 
wanamaanisha kwamba wanatengeneza madishi ya ukubwa waliouainisha kwa c band na ku band receptions. Naomba mnifundishe jinsi ya kuweka picha, niwa2pie 2pie humo.
 
nadhani jamaa tatizo lake sio ngeli.. tatizo lake anunue lipi kati ya hayo... hahaha
 
Bado nasisitiza ni muhimu akazitaja chanels anazozihitaji ili 2jue zinapatikanaje, kama interest yake ni c-band basi azingatie hili, "THE BIGGER THE DISH THE HIGHER THE CHANCE TO RECEIVE FRINGE SATELLITE"
 
umepotea sana mkuu wasalimie changalawe
 
dish ya c band ni mfumo wa zamani . Hila inauwezo wa kushika chanel za ku pia mawimbi yake ayahasiliwi na jua au mvua unaweza kuitumia hata kwenye kuvuta data (intenet) na dish ya ku yenyewe ni moden ila haishiki chanel za c band .inauwezo wa kushika chanel kwa kwa saizi ndogo kabisa ya dish hata kama ft 1 (inategemea na sateliti.) wakati wa mvua au mawingu mengi inakua shida hasa kama signal yako ukuseti vizuri. ku inaitaji eneo dogo tu kuifunga sio ka c band ukitaka kufunga mpaka umwombe baba mwenye nyumba wako. Chanel nyingi za bongo hazishiki kwenye ku dish
twatwatwa mtani mimi unanitatiza na hizo "H" ie. Hila == ila post zako nyingi naona unatuni 'h' kwenye 'i'
 
Back
Top Bottom