Opera mini 7.1 kwa ajili ya java na blackberry


CORAL

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
2,615
Points
2,000
CORAL

CORAL

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
2,615 2,000
Opera Software ASA wamefanyia upgrade Opera Mini 7.0 na kuitoa upya ikiwa 7.1.
Kikubwa walichoboresha ni download manager. Wamefanya yafuatayo:
  • Speed ya kudownload imeongezwa kwa kufanya marekebisho katika servers zao, hasa kwa mafaili yasiyozidi Mb 15
  • Download dialogue sasa inakuruhusu kusimamisha download process(pause downloads) na unaweza kufunga opera mini(exit) kisha ukarudi baadaye ukaendelea na kudownload hilo faili!
  • Wakati wa ku download file unaweza kulipa jina jipya kabla hujali save!
  • Pia download manager inakumbuka kila aina ya fail umeli save katika folder gani! Kwa mfano ukidownload mp3 file ukasave katika "my music" hutaulizwa tena utakapokuwa unadownload mp3 wakati mwingine kuwa unasave wapi litaelekezwa moja kwa moja katika my music! n.k.
Huenda usione ufanisi mkubwa katika matumizi ya opera mini 7.1 download manager ama kutokana na simu yako au sababu myingiezo wanakaribisha maoni ili wayafanyie kazi.
Kwa maeleza zaidi, maoni ya wale ambao tayari wameonja na download link tembelea hapa.
(ANGALIZO: Mimi nimekuwa na tatizo la kudownload opera mini kwa wiki za karibuni. Hata hii 7.1 nimeshindwa kuidownload. Huenda na wewe ukakumbana na tatizo hilo itabidi kuwa na subira. Wale wasio na tatizo hilo nawatakia mafanikio. Nyama ikikushinda kwa kutokuwa na meno unawaachia wenye meno watafune hadi ya kwako yatakapoota!)
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,831
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,831 2,000
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,926
Points
1,225
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,926 1,225
sjajua n kwanin ila kama una tumia voda inakataa kufungua m.opera.com hasa kama unatumia built in browser
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,831
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,831 2,000
sjajua n kwanin ila kama una tumia voda inakataa kufungua m.opera.com hasa kama unatumia built in browser
voda nahisi wanataka wapromote opera mini yao ambayo ipo customized
 
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,926
Points
1,225
nurbert

nurbert

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,926 1,225
af ile huwa inaznguaaaa... pia haina mvuto coz wame eka speed dial zao na zakna isa michuzi
 

Forum statistics

Threads 1,295,163
Members 498,180
Posts 31,201,964
Top