Ofa: Nunua Brand New! Toshiba Laptop na Ujipatie 2GB Flash Disk bureeee!!!

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Habari njema kwa wana JF wote leo nimewaletea Ofa Kabambe katika msimu huu wa sikukuu. Nunua Toshiba Laptop na ujipatie Flash Disk ya 2 GB bureeee.
657664-500x316.jpg
374818.jpg

SPECIFICATIONS

  • Processor: Intel Dual Core, 1.6 GHz
  • Memory: 2 GB RAM
  • Graphics: Intel HD Graphics integrated
  • Hard disk: 500 GB
  • Display: 15.6in 1,366×768, LED-backlit screen
  • Features: 1.3 megapixel webcam, microphone
  • Connectivity: 802.11b/g/n Wi-Fi, Fast Ethernet, Bluetooth
  • Ports: 3 x USB, 1 x VGA, 1 x HDMI, 1x 3.5mm headphone output, 1x 3.5mm microphone input, SD/MMC/MS card reader
  • Operating System: Windows 7 Professional
PRICE - 680,000/-

Kwa wale ambao watahitaji laptop hii wasisite kuwasiliana nami kupitia anwani zifuatazo:
E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
Mobile: +255789 884 221

Wahi kabla Ofa hii haijakupita kwani bidhaa ni chache sana!
 
Mkuu Young Master mbona hii (Processor: Intel Dual Core, 1.6 GHz) na hii (Memory: 2 GB RAM) ni ndogo sana?Kutokana na hiyo bei yake itakuwa ni poa lakini mtu kama mimi siwezi kununuwa Laptop kama hiyo itakuwa na Speed ndogo sana na itanisumbuwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Young Master mbona hii (Processor: Intel Dual Core, 1.6 GHz) na hii (Memory: 2 GB RAM) ni ndogo sana?Kutokana na hiyo bei yake itakuwa ni poa lakini mtu kama mimi siwezi kununuwa Laptop kama hiyo itakuwa na Speed ndogo sana na itanisumbuwa sana.

Naam, kwa matumizi yako inaweza isikufae lakini kwa matumizi ya kawaida tu ni PC nzuri sana.
 
Lakini hiyo insentive ya kununua laptop hii mbona kama ni ndogo sana kumvutia mtu wa kawaida?
 
ungeongeza offer kwa mfano extenal hard disc lakini kaflash ka 2gb? huku kwetu wanakuza buku saba mpaka kumi!
 
hahaaa hapo hamna ofa maana kariakoo ni kama 650000 aina hii na bado nabakiwa na hela ya kufanyia mambo mengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom