Msaada kwa dealers wa mobile phones

Msaada kwa dealers wa mobile phones

OPTIMISTIC

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
125
Reaction score
20
Naomba msaada kwa wale wauzaji wa mobile phones, kipato changu ni cha kati hivyo ninajipanga ili mwishoni mwa mwezi niweze kununua simu ya kisasa, nimeona Samsung Galaxy duos ya double line, nataka kujua kama ni durable na ni genuine na gharama yake ni kiasi gani? Niko Tanga lakini ninaweza kuifuatilia Dar

With respect
 
With respect[/QUOTE
Nadhani huyo ni mchina ,ninayo samsung galaxy y from Uk .Kama unahitaji ni pm
 
Back
Top Bottom