Msaada:Symphony Android Kutumia Internet Bila Wi-fi.

Msaada:Symphony Android Kutumia Internet Bila Wi-fi.

Yaszone

Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
50
Reaction score
6
Jamani Na0mba msaada wenu,nataka kutumia internet Kwenye simu ya symphony Android Lakini Nimeshindwa,Inataka Mpaka Kwa wi-fi na hapa Home hamna Wi-fi
 
Au kama kuna njia nyengine ya kuipata wi-fi bila kuenda mahali pengine
 
Jiunge na data bundle yoyote ya mtandao wako. Ukiwa home screen bonyeza menu key kisha Settings > Wireless & networks > Mobile Networks > Network settings > access point names, bonyeza menu key, New APN, weka name yoyote kisha internet (mitandao mingi bongo inatumia setting hii, ila inaweza kuwa tofauti) kwenye APN, menu key, save.

Kwa wifi nenda Wireless & networks, wifi settings, tick wifi kisha itaonyesha wifi networks ambazo zipo in range, click kujiunga, uwezo wa wewe kujiunga itategemea na settings za wifi na kama unayo password etc.
 
wakati mwingine inategemea, wewe unatumia mtandao gani?
 
hiyo haitumii laini but USB & MODEM na WIFI inaingia ila MODEMU haisapoti nitawezaje kutumia wakuu?
 
Kama simu yako ni HTC basi itanakubali bila Wi-fi.
 
Wi-fi Pia nataka lakini isiwe wi-fi ya Mahotelini au Kwenye Makampuni,wakuu nani Atanisaidia?

Ipo box ya wifi ninauza ambayo itakua ni yako ww tu nichek 0773757501
 
Back
Top Bottom