Poleni kwa majukumu ndugu zangu. Naomba msaada juu ya jinsi ya kufanya kwani mouse pointer (touch pad) ya Laptop Gateaway imegoma 'kutembea', hivyo kunifanya kushindwa kufanya kazi kwa ajali ya kesho. Laptop imewaka kama kawaida ila mouse pointer imegoma.
Naomba msaada juu ya nini cha kufanya ili kurekebisha tatizo hili linalotishia 'ugali' wangu.
Naomba msaada juu ya nini cha kufanya ili kurekebisha tatizo hili linalotishia 'ugali' wangu.