eliasy JF-Expert Member Joined Nov 9, 2012 Posts 455 Reaction score 54 Nov 25, 2012 #1 kuna program nimewekewa ya kutumia net bure. so ni mtandao au modem gani inaafaa kutumia ambayo iko fasta?
kuna program nimewekewa ya kutumia net bure. so ni mtandao au modem gani inaafaa kutumia ambayo iko fasta?
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Nov 25, 2012 #2 embu tupe hiyo prohgram na jina lake kwanza,
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,131 Reaction score 43,811 Nov 25, 2012 #3 hakuna kitu kama hicho kwamba uwe na program ya net bure kabla ya kujua mtandao au modem utakayotumia usipoteze muda wako
hakuna kitu kama hicho kwamba uwe na program ya net bure kabla ya kujua mtandao au modem utakayotumia usipoteze muda wako