Msaada wandugu nadhani hacker wanaweza kuwa wamenitembelea. Kila nikifungua napata msg hii Please complete a security check
No verification methods are currently available. Please come back later...
Microsoft Internet Component Download (MSICD) is a system service for downloading and installing software from Web sites on the Internet and intranets. This section contains a list of articles...
Software can be regarded as collection of computer programs which provides the instruction to a computer, it can also be defined as an entity which is a set of computer programs. There are various...
Habari zenu wanasayansi wa jukwaa hili.
Natumia modem ya Voda Broadband, na baada ya kwisha kwa kifurushi nilichokuwa natumia, nikataka kununua kingine.
Kifurushi nilichohitaji ni namba 4 kwenye...
Good news for those of you who are increasing visitor traffic for your website or blog, SEO (Search Engine Optimization) will never escape its name of backlinks, the higher the mark the popularity...
Wandugu mimi huwa naangalia movie ktk BB curve 8520, sasa nikitaka kuforword kidogo au kubackword kidogo, huwa
sioni hiyo option, huwa inaforword mpaka mwisho au ku anza mwanzo kabisa....naomba...
Habari ya hasubuhi wana JF, kwamara ya kwanza nikohapa na nimefurahi sana kua hapa leo.
DHUMUNI
Mimi ni mwandishi,mwongozaji na mwigizaji wa filam ( i.e, majira yote ). Nimekua...
Wapendwa nataka kuanzisha website kwa ajili ya vijana wadogo, kuwapa maelekezo ya malezi mema na shuhuda za watu waliofanikiwa kwa kuchunga tabia zao. Sasa nahitaji kupata jina nitakalotumia kama...
Naomba msaada wana JF E-mail ni gmail lakini nimekua napokea notification kutoka Facebook na mitandao mingine ambayo nimejiunga sasa nahitaji kuondoa notification zisiingie kwenye E-mail. AHSANTE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.