Wataalam wa elektroniki naomba msaada wa hii IC

Wataalam wa elektroniki naomba msaada wa hii IC

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Habari za wikiendi wanajf wenzangu baada ya kuleta kwenu tatizo lililoikumba tv yangu aina ya Sony Trintron inch 29 na kupata mawazo ya wadau hapa niliipeleka kwa fundi tatizo likagundulika liko upande wa power supply kuna hii IC inapata joto sana ila yeye hakuwa na spea hiyo.Hiyo IC ina hizi namba MZ3001D Tafadhali naomba msaada kwa anayefahamu mahali nitakapoweza kuipata hiyo ic.Mimi niko Musoma
 
ingia mtandaoni uangalie equivalent yake sio lazma iwe na namba hzo hzo.
 
Back
Top Bottom