Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

¤.Kwanza kabisa log in katika acount yako, Wakati uko ndani ingia katika Account Setting kisha badilisha lugha kuwa Bahasa Indonesia. ¤.Njia Ya kuwafanya facebook wakuamini kuwa unatokea Bahasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajukwaa habari zenu, najaribu ku-install whatsapp plus kwenye simu yangu baada ya ku-unstall whatsapp ya kawaida ila inaniletea ujumbe '' Android App Not Install. An existing package by the...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari yenu wakuu. Naomba msaada wenu kwa yeyote anayefahamu utatuzi wa jambo hili. Ninatumia Galaxy S4, lakini hivi karibuni imeanza pindi unapoweka power saving mode au auto brightness au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa?? Katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa BUILD.PROP, kiukweli nimevutiwa na tweak moja ambayo nimefundishwa ya kuweka zile endkeys(navigation keys) kwenye screen...
0 Reactions
3 Replies
969 Views
Kuna hii simu tv unaweza kupata channels chache za live... Kama tbc ,channel 10,sibuka....mlimani tv.. Naomba nyingine ya kuweza kupata channels zaidi za kibongo?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JamiiForums habri zenu, Mie leo ninashda moja, nina laptop haina partition yaani nikipga window chini kila kitu kinapotea, Ila yupo jamaa akanambia niweke partition sasa watu kama mimi BBC...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wakuu naomba setting za hii simu maana nimeshindwa kufanya setting natumia voda.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina windows phone (nokia lumia 521) ya urithi na muhusika alikuwa anaitumia USA, sasa shida nkiweka laini zetu za kibongo haisomi, mafundi kadhaa wameshindwa kunisaidia, mwenye ujuzi na haya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu naomba mnisaidie program or software ya kugenerate random numbers mfano kwenye jackpot ya meridian betting tanzania,zile number zinatokaje??ule mchezo wa betting wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Karpesky lab said it believed the attack was designed to spy on its newest technologies. The Russian firm added that it was continuing to carry out checks, but believed it had detected the...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Natumia samsung galaxy A3 nahitaji msaada wa kuchukua screenshot katika simu yangu.
0 Reactions
29 Replies
14K Views
Habari wadau simu yangu samsung gt 53001,imegoma kuwaka inaganda tuutuu, mara ya kwanza ilikuwa inaandika "mtp not support", yani fail zingine hazitaki kufunguka kama camera, file na apps nyingine...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba msaada: mouse ya laptop yangu haifanyi kazi. Nifanyeje???
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari JF Nimeletewa zawadi ya samsung s5 na rafiki zangu wakorea ila nataka nijue kama ni copy au original. Nifanyaje kujua??
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu game gani ni zuri kwenye simu zetu za android la euro truck simulator
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Msaada tafadhali,king'amuzi changu cha continental kinaniandikia no signal wiki sasa, tatizo litakua nini..
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Good day great p'ple of this room, pls and pls can any one help me with procedure to create account on my AZSKY/QSAT. Pls i need it
0 Reactions
0 Replies
702 Views
wanajamiiforum naomba msaada wenu kujua ni ipi business management software nzuri kuliko zote ilitotengenezwa hapa kwetu bongo, naihitaji kwa matumizi ya supermarket na fast food business mie...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau? Kuna mashine ya kutolea copy inaitwa OLIVETTI COPIA 8020. Please mwenye kujua sifa, tabia, faida na hasara ya hii mashine anijuze tafadhali. Nataka kuuziwa hii mashine kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kufanikiwa ku-program modem yangu ya hauwei. Nimeona ni vizur niandike programu hii , ili niweze kushare nanyi wana jf Download programu hii hapa
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom