Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu husika na kichwa hapo Huku nn simu ya lg g1 imedondoka then screen imepasuka so nahitaji screen nyingine je ntaipata wapi na cost ni kiasi gan? thankssss..
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Ninatumia Nokia Asha 210 lakini kila napojaribu kuangalia salio inaonyesha ujumbe huu "Cannot be dialled without account" Msaada nifanye vipi ili niweze pata kuirekebisha?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wazee wa Tech Naweza pata mtu anayeweza tengeneza database system ambayo inaweza kutuma sms and email kwa baadhi ya individual ambao wapo katika hiyo system pia huo ujumbe unaotumwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakubwa kwema huku naombeni msaada wa Frequency mpya za Emmanuel kwenye Azam, sababu zile za 10721 hazifanyi kazi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je Computer yako imekuwa Slow ghafla?... Kama wewe ni mtumiaji wa internet sana, haswa haswa kama unapenda kuDownload Pirated SOftware, (KeyGens,Activators,Loaders... etc). Software hizi nyingi...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Jamani nilipewa ofa na tigo ya GB 5 sasa mwishoni nikiwa naelekea kuzimalza android yangu inaniletea ujumbe huo specific data limit exceeded.. ?
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Habaro wakuu, Naomba mnisaidie jinsi ya ku root HTC sensation
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Tunahitaji content URL za TV channels za Tanzania zinazopatikana au zenye coverage kwenye maeneo mengi nchini Tanzania. Kwa anaye fahamu naomba atusaidie. Asante
0 Reactions
0 Replies
768 Views
habari za jioni wakuu leo kuna kitu nataka kukijua ivi kwa zile movie mfano unakuta m2 mmoja anacheza sehemu mbili alafu wanainteract mfano kushikana mikono mikona kupigana nk wakiwa eneo moja pia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji plotter kwa ajili ya printing kwenye mabango, Tshit nk mwenye kua na ufahamu juu ya hiyo kitu naomba anisaidie inapatikanaje na kwa bei gani
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji penseli nzuri sana za kuchorea picha kwenye karatasi. Je ni aina gani ya penseli ambazo unaona ni nzuri mno na nitazipata wapi hapa Dar
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Hbr viongozi naomba msaada jinsi ya kuunlock iphone 4s ambayo ikolocked. Na mtanda ila si wa apa tz!. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu naombeni mnisaidie software ya ku unlock the above moderm. Naomba wenye download links or any other instruction anijuze
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar za majukumu wakuu plz naomba msaada wenu sim yangu ni nokia asha 200 so naomba mwenye maujuz ya kuinstall whats app kwenye nokia asha anisaidie plz shukran snipa
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau nimetoka android nipo huku sasa nimezoea kusoma pdf kwa WPS sasa huku naiona adobe reader tu.naomba kuuliza hakuna njia ya kusoma pdf file kama kule kwenye android? Maana inshu ya kushindwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye kujua fixing ya hicho kioo inaweza gharimu kiasi gani naomba anijulishe tafadhali
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ilikuwa inatumika south Africa Ila hai support line ya hapa Mwenye utaalam wa kuifungua Anipe ghalama yake tuweke mambo sawa Mtaalam aje pM.
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Tafadhalini wanajamvi naomba msaada kwa anaye fahamu jinsi ya kudownload game ya need for speed ii, nina pc yenye WINDOW 7, au kama kuna mtu anayo naomba anipatie, asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau. Nimedunduliza vihela vyangu miaka na miaka.. nimepanga nichimbe kisima kuepukana na drama za dawasco na mabomba yao ya mchina. Nimeita wapimaji (DDCA,pale chuo kikuu)...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau utajuaje tecno h6 mbayo ni orijino na ambayo ni feki
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom