Abubakar seleman
Member
- Aug 5, 2012
- 34
- 0
Habari wadau simu yangu samsung gt 53001,imegoma kuwaka inaganda tuutuu, mara ya kwanza ilikuwa inaandika "mtp not support", yani fail zingine hazitaki kufunguka kama camera, file na apps nyingine zinagoma zinaandika hayo maneno nikai re boot ikakaa siku chache tuu ikagoma tena nikaambiwa nibadilishe OS yake then itakuwa powa,, wengine wanasema nii flash itakuwa poa yani sijui nifanyaje yani,,, vp kuhusu kui root itakuwa hapo wadauu
Kama kui root naomba njia za ku root samsung gt
Kama kui flash itakuwa kama mara ya kwanzaa
Naomba msaadaa
Kama kui root naomba njia za ku root samsung gt
Kama kui flash itakuwa kama mara ya kwanzaa
Naomba msaadaa