Generating random numbers

Jul 20, 2013
37
3
Habari ndugu zangu naomba mnisaidie program or software ya kugenerate random numbers mfano kwenye jackpot ya meridian betting tanzania,zile number zinatokaje??ule mchezo wa betting wa atleast(keno).... Plz naombeni msaada wenu maana kila siku uyu mzungu anakula hela zangu tu.
 
Software Engineer

JF-Expert Member
Dec 20, 2014
344
136
Habari ndugu zangu naomba mnisaidie program or software ya kugenerate random numbers mfano kwenye jackpot ya meridian betting tanzania,zile number zinatokaje??ule mchezo wa betting wa atleast(keno).... Plz naombeni msaada wenu maana kila siku uyu mzungu anakula hela zangu tu.

Piga code kijana, zipo library kibao
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom