Continental decoder inaniandikia 'no signal'

nelaizer

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
818
Reaction score
284
Msaada tafadhali,king'amuzi changu cha continental kinaniandikia no signal wiki sasa, tatizo litakua nini..
 
Unaishi wapi? Umejaribu kuangalia kama waya wa antenna umechomekwa vizuri?
 
Naishi Kunduchi kyenju,nimejaribu kufanya kila kitu sioni mabadiliko
 
:A S 100:WASILIANA NA HUDUMA KWA WATEJA WA CONTINENTAL DECORDERS KWA MSAADA ZAIDI:A S-rap:
 
Registered Office Address
Continental Digital Media Content Ltd.7-C, Ilemela Industrial AreaPO Box 820. Mwanza,TANZANIA.
telephone_image.jpg
+255 766 249 999 / +255 686 249 999or:A S 100:+255 757999885 / +255 719705353:A S 100:Email us::typing:customerservice@cdmcl.co.tz :typing:​
 
Msaada tafadhali,king'amuzi changu cha continental kinaniandikia no signal wiki sasa, tatizo litakua nini..

Mimi nilikuwa mteja wao lakini hiyo no signal kwao ni kawaida huduma zao mbovu sana sana. I mean hawajui
wanachofanya unaweza maliza hata wiki mbili bila kuona kitu mpaka nikahamia azam tv naona wao siyo wabaya in short wako vizuri.
 
Sawa asante kwa ushauri mkuu ila sasa kuna hii channel ya Emmanuel t.v ndo inayofanya nashindwa kuwahama mana ni favorite channel yangu asee
 
Duh, sijaona kama continental No signal kwao ni kawaida, hebu fanya auto search, pia hakikisha antenna iko vizuri, pia jaribu kuscroll kinyumenyume uangalie zile channel za mwisho kama zipo (Saudi, Morning Star, NHK) kama hizo hazionekani basi antenna yako ina tatizo.
 
Lalashe takwenya!!!hahah

Saudi inaonyesha na morning star,ila sasa waiiiii...nachoka kabisa mana napata channel chache tu kama 4 ivi
 
Sawa asante kwa ushauri mkuu ila sasa kuna hii channel ya Emmanuel t.v ndo inayofanya nashindwa kuwahama mana ni favorite channel yangu asee
Azam Tv pia kuna emmanuel TV tena bureeeeeeeeeeeeeeee,
 
Lalashe takwenya!!!hahah

Saudi inaonyesha na morning star,ila sasa waiiiii...nachoka kabisa mana napata channel chache tu kama 4 ivi

umefanya AutoSearch au Manual search? kama ulifanya autosearch jaribu manual search kwa frequencies 483, 485
 
Nimejaribu kufanya ulivyoniambia hapa bt hamna chochote,nadhani ni location mkuu
 
Back
Top Bottom