Kwa wale wataalamu wa Android

Krama

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
293
78
Habari wanajukwaa??
Katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa BUILD.PROP, kiukweli nimevutiwa na tweak moja ambayo nimefundishwa ya kuweka zile endkeys(navigation keys) kwenye screen kama simu za sony.

Nlikuwa naomba mtaalamu mwenye tweaks zingine za build.prop aziweke hapa ili tuweze kuzi pimp Android phone zetu.. Natanguliza shukrani
 
Mh mgeni kabisa ndo inasaaidia nn hiyo

ukiroot simu yako ya Android, unaweza ku customize acceleration na performance ya simu yako kwa kutumia hio build.pro, mfano unaweza ukacheat version ya Android yako ili uweze kuweka apps ambazo sio compatible na version iliyopo kwenye simu yako... mfano kama una gingerbread unaweza ukaicheat playstore kwamba una jellybean au kitkat kwa kutumia hio build.pro... ngoja wataalam wakija watakufafanulia zaidi.. cc: njunwa wa mavoko
 
Habari wanajukwaa??
Katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa BUILD.PROP, kiukweli nimevutiwa na tweak moja ambayo nimefundishwa ya kuweka zile endkeys(navigation keys) kwenye screen kama simu za sony.

Nlikuwa naomba mtaalamu mwenye tweaks zingine za build.prop aziweke hapa ili tuweze kuzi pimp Android phone zetu.. Natanguliza shukrani

ngoja niifuatilie hii kitu kwanza
 
Back
Top Bottom