Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

DISPLAY CONTROLLER A data processor has a 6-line bus configured as 4 lines for data, 1 for the clock and 1 for status. The status line outputs a pulse each time the data on the bus changes, the...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Kuna anayejua kuhusu hili anijuze? Natamani kujua vifurushi vyao vyote vya data na bei zake
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Msaada jamani, Chanel 1 tu ya morningstar inakataka sauti upande wa Continental zingine ziko poa. Natumia rcv ya wiztech 8055
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu Nimedownload app ya Simu Tv kwenye simu yangu ya HTC Desire 8181. Kwa bahati mbaya kila nikijaribu kufungua video inaniambia " Sorry this video can not played". Naombeni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je inawezekana unlock simu ya iphone 5s iliyolokiwa kwenye icloud? cc CHIEF MKWAWA
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari ya jioni wakuu. Nina tatizo na nnahitaji utaalamu wenu. Kuna uwezekano wa kuifanya s4 yangu isiwe ina dim (kitendo cha mwanga kupungua) kabla ya kuzima?. Maana screen ikikaa bila kutumika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau Nina kalumia 535 nataka kujua Namna ambayo nitaweza kuaikiliza music manake sulion fail la gallery or musix
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wakuu natumia android ipo rooted.. nisaidie app ambayo naweza kuedit picha in high quality.. yaan iwe imesimama zile picha za wasanii jinc zilivyo.. kuondoa background na kuweka...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
ispyoo ni program ya kuhack simu ya mtu nimejaribu kuinstall naona inagoma. embu jaribu na wenye ujuzi mnipe mrejesho au mbadala wake.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi nina siku nyingi nilikuwa sijaingia kwenye menu ya voda leo nimeingia nimekutana na huduma ya wajanja night sasa kama kuna mtu alishawahi kuitumia naomba anijulishe wanatoa unlimited au...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Ni HP desktop, windows 7, juzi tu ilibadilishwa windows lakini tatizo limeanza tena. Yaani nikiwasha inaanza ku-count numbers kona ya juu kushoto mpaka 1024,inaonesha nibonyeze F1 to BOOT, inaweza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Android M imetoka juzi juzi, lakini imeonekana kuwa na bugs kibao tu. Review yangu binafsi. -Jana nilifanikiwa kueka hii android M kwenye N5. Baada yakukamilisha process nzima...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kampuni kubwa ya vifaa vya kielektroniki duniani Apple, inasemekana imeiba mawazo ya wapinzani wake kama Samsung, Google na Microsoft ili kufanya maboresho katika software platforms za bidhaa...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Hodi wanaJF! Naomba majibu ya swali langu. Je ni kweli antivirus hazina umuhimu katika simu za android?? Natanguliza shukrani
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari yenu wanajamvi Wakuu nina simu hapa inanisumbua ni baada ya kuirestore inasema ''unfortunately setup wizard has stopped
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wa jukwaa hili. Heshima zenu. Naomba msaada kama unawezekana. Je, inawezekana mtu ukazuia document yako isiweze kucopiwa na mtu ikiwa katika word format? Unafanyaje? Mimi najua kuconvert...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau wa JF naombeni msaada wa kureset simu yangu, ilioblock baada ya kukosea pattern na data ikiwa off simu yenyewe ni LG-p350
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini jamani Naombeni msaada kwa anayefahamu kwa maana ninatumia simu aina ya huewei y 600 inajaribu kuinstal programs katika play store ina niandikia no space available alafu nikaingia kwenye...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
How do i integrate my sql db with ui
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Wakuu nilikuwa natumia app ya JF kwenye IPad ikawa inazingua, ilikuwa hairefresh kwenye "new posts", nikaamua kuidelete ili niidownload upya, kila nikisearch kule app store naambiwa "no result"...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Back
Top Bottom