Tumia Chura SmS kutuma Flash Message kutoka kwenye computer yako

Tumia Chura SmS kutuma Flash Message kutoka kwenye computer yako

programu hii inatuma command kwenda kwenye modem iliyounganishwa kwenye computer. command za kuiambia modem itume flash message (class 0 message).
 

Attachments

  • IMG_22734580047770.jpeg
    IMG_22734580047770.jpeg
    2.4 KB · Views: 233
  • IMG_22723220031901.jpeg
    IMG_22723220031901.jpeg
    7.4 KB · Views: 160
programu hii inatuma command kwenda kwenye modem iliyounganishwa kwenye computer. command za kuiambia modem itume flash message (class 0 message).

ChuraSMS ikituma flash message. programu hii inaweza kuwa-intergrated a database na kutumika kutuma Information muhimu kwa wateja. mfano matangazo madogo madogo,bei ya bidhaa,ada ya muhula nk
 

Attachments

  • log.png
    log.png
    2.2 KB · Views: 197
  • churasms.png
    churasms.png
    128.4 KB · Views: 93
ChuraSMS ikituma flash message. programu hii inaweza kuwa-intergrated a database na kutumika kutuma Information muhimu kwa wateja. mfano matangazo madogo madogo,bei ya bidhaa,ada ya muhula nk
Nawezaje kutuma flash sms kutoka android yangu...
 
Nawezaje kutuma flash sms kutoka android yangu...

Mkuu hizo apps nyingine zakutuma sms zinatumia inbuilt system sending, kwahiyo kama simu yako haina uwezo wakutuma flash sms, usijejidanganya kwamba utaeza kwakutumia apps.

zaidi zaidi utalalamikia tu kwamba app ni ya uongo e.t.c

na simu siku hizi hawaruhusu flash sms kwasabu ya spamming.
 
Back
Top Bottom