Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Samahan nilikuwa na shida ya kutaka kuelekezwa jinsi navyo weza kuchota databases kwenye wamp na kudisplay kwenye Intel xdk app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nina weza kupata wapi betri tajwa hapo juu, mimi nipo Kibaha naihitaji sana mpya na inayokaa na chaji
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Naomben msaada laptop yangu kila nkiweka password inaniandkia 'the user profile service failed the logon. User profile cannot be loaded. Lakini nikifungulia kwa guest inafunguka. Naombeni msaada.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimeleta huu uzi apa kuna kitu kinanichanganya kuhusu bei zaz simu hasa izi smart phone, kwa mfano launch price huko ulaya na us unakuta ni ndogo kuliko price kwenye maduka yetu hapa bongo mda...
0 Reactions
41 Replies
12K Views
mwenye download link ya hiyo software anisaidie please............nimegogle mpaka nkachoka
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari... Nina 3G wireless router ndogo ambayo imeunganishwa na computer kama kumi kwenye internet moja hapa mjini. Je, Kuna software ambayo naweza install ktk computer moja nikaweza kuona data...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu... Naomba kusaidiwa jinsi ya ku-reset simu aina ya sumsung galaxy s5...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wote ambao wanaotumia dikoda yab startimes kwa kutumia antenna au DVB (Dish) utaweza kupata channeli zote ambazo hazipo kwenye dikoda na zingne ambazo zimefungiwa na startimes kwasababu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hizi simuu zimekuwa zikilalamikiwa na wengi kwamba hazikai chaji na nimethibitisha hili kwenye simu ya viwa max 5 kukweli the battery life is poor, fuata hizi hatua uifanye viwa yako ikae hadi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wadau tazama hii screen shoot kwa juu apo kwenye notification bar pana icon nne za whatsApp yani zote kwa simu moja na zipo active muda wote namba nne tofauti. Hii inshu sio free...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kikubwa sana kilichonifurahisha simu iko so speed applications zinafunguka faster sana na pia mwonekano wake ni mzuri! Nimeipenda kwa kweli hii update! Ukubwa ni kama MB 1138 hivi approximately 1GB
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Wakuu naomba kufahamishwa tatizo ni nini? Natumia King'amuzi cha AZAMTV, TBC-1 hakuna sauti ila channeli nyingine ziko vizuri kabisa.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nlikuwa naomba kuelimishwa kidogo kuhusu hizi apps za power saving. Je, huwa zina faida kweli? Mfano mimi natumia app ya battery doctor lakini bado charge inaisha mapema...
1 Reactions
47 Replies
9K Views
wadau habari hapa nina iphone 2 moja tatizo ni icloud umelock na nyingine tatizo ni netwok haipandi je naweza kupeleka kwa fundi nikafanikiwa kukomboa simu moja
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimenunua dish la Azam kwa mtu, nimejaribu kufunga lakini limekataa kbs kushika upande yalipo elekea madish mengine ya Azam. Nikajaribu kulielekeza uelekeo wa madish ya DSTV imeshika, sasa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna style huibuka hususani kwa Vijana ,ikiwa ni pamoja na Kuning'iniza ufunguo wa Gari kiunoni ,kitambulisho cha kazi shingino na ikaibuka hiyo ya Power Bank Kushika kila mtu anapokuwepo. Ila...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau ninaomba kufahamu kama unaweza ukatumia gmail kumtumia ujumbe MTU ambaye anatumia email ya yahoo.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habar, naomba mtu aneyejua anisaidie kuunganisha ili niwezemkucheki movie za 3D kwenye laptop yangu.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu habari.. Tafadhali naomba kuelekezwa jinsi ya kureset simu sumsung galaxy s5..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada wakuu ninataka kufanya instalation ya cent os ndani ya win xp ikiwa na virtualbox sasa nilichokuwa nataka kukijua ni kwamba nina modemu ya zte unlocked inawezekana kupata static ip address...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom