Android App Not Install. An existing package by the same name with a conflicting signature is alread

ffn

Senior Member
Jan 11, 2014
131
29
Wanajukwaa habari zenu, najaribu ku-install whatsapp plus kwenye simu yangu baada ya ku-unstall whatsapp ya kawaida ila inaniletea ujumbe '' Android App Not Install. An existing package by the same
name with a conflicting signature is already installed '' Msaada tafadhali
 
Root Kwanza simu yako kisha download lucky patcher halafu uipatch system ya android kutumia hiyo lucky patcher
 
ulipoeka hio whatsapp plus whatsapp ya zamani ilikuwa ushaitoa? kama bado toa whatsapp ya zamani kwanza ndio ueke plus
 
Asante mkuu Sarry86, luck patcher kwangu imefanya kazi nzuri nimefanikiwa ku install whatsapp ++ kwenye Tecno Phantom min (P6) baada ya kuhangaika kwa muda mrefu. Nilisha kata tamaa kabisa lakini nilikuwa naipenda maana nilisha itumia kwenye Sony Experia Z ambayo imepasuka kioo na bei yake iko juu ku repair. Thanks tena na tena.
 
Back
Top Bottom