Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

This procedures will guide you to install Whatsapp messenger on your non-supported java phones like the Nokia Asha 200, Asha 205 and any other non-supported java phones. Please take note you need...
0 Reactions
118 Replies
26K Views
Halo bandugu nataka kununua any android phone, lakini yenye RAM kuanzia 1 gb na camera ianzie 6MP,naomba ushauri wenu, ni brand gani nichukue na bei yake ikoje?? Pia nataka nimchukulie wife tablet...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Simu yangu tecno H3 haitaki kudownload apps za kwenye play store msaada tafadhalini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za leo wadau,napenda kufahamu je simu hii lumia 640 dual lte imeshafika bongo?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natanguliza shukrani kwanza , naombeni mnisaidie nifanyaje maana simu yangu sikuitumia takribani miezi 4, kwasabu ya kuwa na ubovu wa betri na sasa betri imepatikana nikaiweka alafu nikacharge...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inverter zenye feedback ni zile ambazo huendelea kutoa constant voltage licha ya umeme wa battery kuwa unashuka. Kwa kawaida unavyokuwa unatumia inverter battery hupungua voltage taratibu. Hivyo...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani naomba msaada wa jinsi ya ku Update huawei ascend P6 kutoka android 4.2.2 kwenda 4.4.4 asanteni
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani nimenunua iphone 6+ kwa 30000/= je jamani hamna mpaka sasa anaweze kubypass hii kitu hapa bongo ili tufanye BIASHARA ya maana baadae?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa waliopata ishu kama hii maelezo kidogo. Mana nampigia mtu naambiwa simu yake haina salio lakutosha, sasa inamaana angekua nalo salio angeliwa yeye au mimi ? Na hii ni huduma mtu anajiunga au...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu. Naomba kujua jinsi ya kupata file update la tecnosat 2200 hd plus. Asante
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Hii PC ina matatizo haya matatu. 1. Standy by icon not active. 2. Inachukua muda mrefu kuwaka, na niki'restart, haiwaki mpaka nisubiri baada ya nusu saa ndio niiwashe tena. 3. Mwanga wa screen ni...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Natumia samsung galaxy grand duos nipo version 4.2.2 naitaji update ila naletewa hvyo.. msaada ipo rooted
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau habari! Naomba msaada kwa yeyote mwenye program ya HP Deskjet 3070A printer, kwani cd yake imevunjika na nimeformat laptop yangu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, Mimi nina smartphone yangu ya Huawei nimeinunua Tigo ila nataka niitumie kwa Voda. Je inawezekana kubadilishwa mtandao kwenda Voda bila simu kupoteza ubora wake? Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba nielekezwe jinsi ya kudownload IDM katika laptop yangu aina ya HP yenye window 7. Niliifuta bahati mbaya IDM sasa kila nikidownload inataka niweke serial number.Mwenye kujua naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu airtel washafanya yao tayari wamepunguza ukubwa wa vifurushi wa OMG vyote jaribuni kucheki maana kila kukicha hali inakuwa mbaya kwenye swala la internent wengine ni watoto wa maskini
0 Reactions
66 Replies
13K Views
Habarini wakuu....! Wakuu kuna website hii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
This week in science
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Wadau wa masuala ya IT na Real Estate hapa Tanzania. Tumetengeneza android app inayorahisisha mchakato wa upatikanaji wa (kupanga na kuuza) nyumba, ardhi, ofisi n.k Kuona demo bonyeza HAPA...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu niaje, Ni muda mrefu sasa toka nimepost kitu muhimu na useful pia; Well sina jipya sana bali nilikua tu natoa tu kama habari ya project ambayo nimejipa kama challenge kwangu mimi mwenyewe na...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom