Habari JF
Nimeletewa zawadi ya samsung s5 na rafiki zangu wakorea ila nataka nijue kama ni copy au original.
Nifanyaje kujua??
Niwalewale mnapewa zawadi ya hela mnanyoosha na kuanza kuhesabu utafikiri ulikopesha!
zawadi ni zawadi na kama ina application zile unazozihitaji....hayo mengine ya nini Simu yeyewe ya zawadi?

Bonyeza *#0*#........isipopotea hiyo kimeo........ila zikipotea itakupeleka kwenye kuhakiki zaidi...........