Live tv on your Android phone

Live tv on your Android phone

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
Kuna hii simu tv unaweza kupata channels chache za live... Kama tbc ,channel 10,sibuka....mlimani tv..


Naomba nyingine ya kuweza kupata channels zaidi za kibongo?
 
Kama unatatizo kuhusu simu ya android napatikana humu0715378899
 
Mleta mada mbona ako ka-application hakafungui live na kwanza napata ugumu kwenye kuchagua channel.ama unatumia application nyingine?
 
Mleta mada mbona ako ka-application hakafungui live na kwanza napata ugumu kwenye kuchagua channel.ama unatumia application nyingine?

Pole sana kwa kuhangaika.... Nenda hapo chini WATCH MORE....... Then chagua LIVE
 
Back
Top Bottom