Msaada: Jinsi ya kuchukua screenshot

Msaada: Jinsi ya kuchukua screenshot

Mussa waukweli.

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
534
Reaction score
319
Natumia samsung galaxy A3 nahitaji msaada wa kuchukua screenshot katika simu yangu.
 
power na home kwa pamoja

screenshot-samsung-galaxy-A3-A5-A7.jpg
 
Iphone imekubali ila kwa ipad imekataa mkuu
 
Dah. Hii kitu nilikuwa sijui. Kuna mzungu mmoja aliniambia niscreenshot kitu fulani halafu niattach. Mimi nikakipiga picha na kutuma. Aibu kweli!
 
Kwa simu nying za Android bonyeza POWER BUTTON and BUTTON ya kupunguzia volume pamoja(AT THE SAME TIME)
 
Back
Top Bottom