kioju
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 804
- 272
Wana JamiiForums habri zenu,
Mie leo ninashda moja, nina laptop haina partition yaani nikipga window chini kila kitu kinapotea,
Ila yupo jamaa akanambia niweke partition sasa watu kama mimi BBC (Born Before Computer) sijui pa kuanzia wala pa kuishia, kwahiyo naomba mnisaidie wanajamii jinsi ya kuweka
Nashukuru kwa ushirikiano.