Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wapendwa Kuna mtu hapa nilipo ameletewa Nokia Lumia 720 ikiwa bado haijafanyiwa update juu ya hii window mpya sass tukaifanyia update imekamilika matokeo yakee inafanya kuupdate zile...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari za wakati huu. Naomba kupata ushauri na msaada toka kwenu. Hivi karibuni nilinunua mshine ya hiti kwa ajili ya kuprint express passport size. Sasa wakati naiwasha tu kwa mara ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni kwa mapenzi yake Mungu tunaendelea kuwa na uhai. Nina Samsung Galaxy Tab 3 7.0 yenye model namba ya SM-T211 ambayo niliiupdate kwenda KitKat (Android 4.4.2) lakini,tablet hii imekuwa inalag...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima wakuu. Nna folder ambalo nataka kuli-unzip naomba kujua app ipi ni nzuri kutumia kwa kupitia simu?. Naweza kuambiwa "nenda playstore utazikuta" ni kweli zipo ila ningependa kujua...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa yeyote anayeweza kuwa na memory ya hp color laserjet printer 5500 tuwasiliane nahitaji yenye ukubwa wa kati ya mb 128 mpaka 256 ila iwe ya hp 5500
0 Reactions
0 Replies
764 Views
jamani naomba steps za kuroot android aina ya YXTEl 4.2 version .
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumia simu ya HTC aina ya windows 7. Baadhi ya Apps hazifanyi kazi kwenye hii simu.kama hii true caller inanitaka ni upgrade. naomba muongozo na ni apps zipi bora kuwa nazo kwenye simu kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
ni kipindi kirefu nimekuwa nikitafuta njia za kuponesha hii simu lakini nimeshindwa tatizo ni kwamba kila nikifungua browser kuna sms inakuja inasema Your device does not currently...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
habar zenu wakubwa. nimenunua modem kama. lkn bahat mbaya haitaki kuunganishatandao nifanyaje. ina authecate kwa muda badae inadisconnet. msaada plz
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana JF naomba kusaidiwa gari yangu ni noah, ile geji ya speed haifanyi kazi baada ya kubadilisha difu hali hiyo ikaanza, na gari haibadilishi gia no 5 inaishia gia nne tu, lkn juzi ile geji...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana jukwaa Nilikuwa nauliza kama kuna apps zinazoweza kumfanya mtumiaji wa smartphone akawasiliana na mtu mwenye simu ndogo za kawaida kwa njia ya SMS kwa kutumia data tu.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wakuu nimekuwa nikiona mara nyingi hili neno "custom rom" ila kiukweli sifaham ni kitu gani hicho, kwahiyo wakuu kama kuna yeyote anafaham anijuze. na pia nilisikia kuwa kuna watu huwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari, Camera ya simu yangu imestop kupiga mbele na nimejaribu kila namna imeshindikana ila front najipiga kama kawaida sijajua tatizo ni nini? aina ya simu ni Tecno P3
0 Reactions
2 Replies
3K Views
mbali na sifa nyingi za hii simu, naomba kujuzwa hili la water proof... je, ni kweli kwamba unaweza kuitumbukiza kwenye maji na kuitoa majini ikiwa nzima?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna hizi search-engines katika pita pita nimekutana nazo =>EML =>WOW =>YANDEX =>BAIDU =>tinyURL =>LYCOS =>ASK Mwenye ya kuongezea usisite kuimwaga hapa. Pia uiweke katika form ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Inakuwaje wakuuu natumain mko poa hii ni IDM mpya kabisa iko Crank yake fuata maelezo kwenye file lipo ndani kila kitu kipo humo ila hakisha wakati wa Installation unafanya ukiwa OffLine Enjoy
6 Reactions
14 Replies
2K Views
salam wakuu. naombeni msaada wa ku-unbrick hii tecno p5. iko hivi,nilifanikiwa kuflash custom rom kwa h5 na mwenzangu akaomba nimuwekee kwa p5. ishu ni kwamba p5 kila nikijaribu kuweka custom...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa wale wataalamu wa kupaka rangi nyumba ninaomba kuuliza,je! unaweza kubadilisha rangi ukuta uliopaka rangi ya pink na kupaka broken white!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada jamani wa namna ya kuinstall google playstore katika simu yangu ya nokia xl, nimejaribu naona nimeshindwa, msaada zaidi tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom