Ingia store utafute upakuwe maana apps za aina hiyo zitakubali kwa Android Os.
Natumia simu ya HTC aina ya windows 7.
Baadhi ya Apps hazifanyi kazi kwenye hii simu.kama hii true caller inanitaka ni upgrade.
naomba muongozo na ni apps zipi bora kuwa nazo kwenye simu kwa matumizi ya kawaida tu.
Kwanini usi-upgrade OS kwenda Windows 8.1? Apps nyingi hazifanyi kazi kwa Windows 7
Haswa ndio maana ukaja kuomba msaaada, ingefanya kazi ungekuja kuomba ziada ya mawazo.kwahiyo kwenye windows hazifanyikazi