sonny experia z1

sonny experia z1

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
mbali na sifa nyingi za hii simu, naomba kujuzwa hili la water proof... je, ni kweli kwamba unaweza kuitumbukiza kwenye maji na kuitoa majini ikiwa nzima?
 
Kwa njia rahisi unaweza kutumia youtube ku-prove hii theory yako...
Kama umeshawahi ambiwa kuwa ni water proof basi amini hivyo mkuu...
 
mbali na sifa nyingi za hii simu, naomba kujuzwa hili la water proof... je, ni kweli kwamba unaweza kuitumbukiza kwenye maji na kuitoa majini ikiwa nzima?

Ili mradi iwe ni original,lkn ukinunu hizi za sh 120000/ kariakoo ukitumbukiza kwenye maji ndio umeliwa mzee
 
mbali na sifa nyingi za hii simu, naomba kujuzwa hili la water proof... je, ni kweli kwamba unaweza kuitumbukiza kwenye maji na kuitoa majini ikiwa nzima?

Ni waterproof. Tupa hata mtoni, inatoka nzima. Nimeitumia na ninathibitisha. Hakikisha tu umeziba vile vifuniko-flaps- walizoweka kwenye sehemu ya charge na micro sd.
Mpaka sasa Sijaona simu za Ukweli nje ya Sony Xperia. Ukipata Z3 plus ndio magoli zaidi
 
Waterproof lakini ina limit,

Urefu ni mita 1 na nusu
Muda ni dakika 30.

Unaweza ingia nayo kwenye swiming pool ukakaa nayo nusu saa kwa deep yake haina neno.

Ila kama unampango wa kupiga nayo mbizi baharini itaharibika
 
Ni waterproof. Tupa hata mtoni, inatoka nzima. Nimeitumia na ninathibitisha. Hakikisha tu umeziba vile vifuniko-flaps- walizoweka kwenye sehemu ya charge na micro sd.
Mpaka sasa Sijaona simu za Ukweli nje ya Sony Xperia. Ukipata Z3 plus ndio magoli zaidi

vp hapa kwenye speaker na tundu la headphones? hazipitishi maji?
 
Back
Top Bottom