Msaada: 3g hspa usb modem haiconnect

STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
239
72
habar zenu wakubwa. nimenunua modem kama. lkn bahat mbaya haitaki kuunganishatandao nifanyaje. ina authecate kwa muda badae inadisconnet. msaada plz
 
apn Vodafone IN Dial. *99#

Itakuwa ni tatizo lao kama kifurushi kipo. Ila pia unplug modem, uondoe software yake na ya modem zingine ikiwemo alafu restart machine kisha urudishe upya. Ingawa haijaleta tatizo la port ila huenda ikasaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom