Msaada: Jinsi ya ku-root Android 4.2version aina hii

Msaada: Jinsi ya ku-root Android 4.2version aina hii

Jaribu ku update ikikataa njoo tukusaidie kkooo
 
Download kingroot application

Mkuu mm nilijaribu kuroot galaxy s4 yangu mwisho wa siku nikakuta imekuja hiyo app na haitoki kwenye simu alafu kuna mda inataka kujiupdate lakini inaleta picha ya computer kana kwamba inahitaji computer kumalizia ku root mana app ipo lakin bado simu haijawa rooted msaada please.
 
Thank, kk, Hiyo hiyo ndo kama yangu Naomba uniorozeshee hizo steps mkuu baada ya kudownload hiyo app ya kingroot

Haina maelezo, we download > fungua afu utaona option ya root, click hapo subiri, ikimaliza you're done.

Download hapa King Root
 
Back
Top Bottom