Msaada, blackberry yangu inanisumbua

Msaada, blackberry yangu inanisumbua

Srebrina

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
968
Reaction score
439
ni kipindi kirefu nimekuwa nikitafuta njia za kuponesha hii simu lakini nimeshindwa

tatizo ni kwamba

kila nikifungua browser kuna sms inakuja inasema

Your device does not
currently have any Browser
Configuration Service Book
Entries.

Please contact your service
provider to enable the
Browser on your device

naombeni sana msaada juu ya ilo
chief mkwawa naitaji msaada wako na wengine wote mtakaoweza kunisaidia
 
Unajiunga kifurush cha bb? Umejaribu kutumia browser nyengine kama opera?
 
hakuna browser nyingine yoyote

Weka browser nyingine kama opera mini au uc browser. Tumia wifi kudownload itafanya kazi. Tatizo liko kwenye servers za blackberry ndizo zinazodai service books.
 
Weka browser nyingine kama opera mini au uc browser. Tumia wifi kudownload itafanya kazi. Tatizo liko kwenye servers za blackberry ndizo zinazodai service books.

bhii simu aina wifi
 
Weka blackberry ID ndio itakubali au tukutane humu0715378899,kariakooo
 
Weka BB yako kwenye bb desktop fanya software update.
 
Pole sana, fata ushauri wa wataalam wengine, mimi ujuzi wangu umeishia hapo.

asante kwa ilo yaani natamani adi kuitupa nikipiga *102# kuangalia salio naambiwa salio alitoshi kupiga simu nikipiga 102 naambiwa mteja unae mpigia hapatikani
 
hiyo blackberry ni aina gani? pia jaribu hivi fanya kama unapiga simu mfano 102 halafu piga ikaanza kuongea angalia salio *102# kisha bonyeza cha kupiga ikikubali leta mrejesho
 
weka model yako ya simu tuangalie software yake na bugs kama zipo fixed pia ukileta verison unaweza toa blackberry internet service ukawa unatumia bundle la kawaida na app world unaweza download kotoka kwenye official page
 
Black berry yangu ni tour 9630 ina os 5.0.0645
 
Back
Top Bottom