App inayowezesha kutuma SMS kwa kutumia data

App inayowezesha kutuma SMS kwa kutumia data

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,981
Reaction score
4,174
Habari zenu wana jukwaa Nilikuwa nauliza kama kuna apps zinazoweza kumfanya mtumiaji wa smartphone akawasiliana na mtu mwenye simu ndogo za kawaida kwa njia ya SMS kwa kutumia data tu.
 
kuna app ilikuwa inaitwa mig33 sasa inaitwa migme. Inaweza kufanya kazi hiyo mpaka na kupiga simu ila unalipia.

jaribu maana ukiwa new user account yako inakuwa na kiasi cha fedha kama kianzio

http://mig.me/
 
Ngoja wataalamu wengine waje tuone.
CC😡njunwa wamavoko,@c6 Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana jukwaa Nilikuwa nauliza kama kuna apps zinazoweza kumfanya mtumiaji wa smartphone akawasiliana na mtu mwenye simu ndogo za kawaida kwa njia ya SMS kwa kutumia data tu.

download skebby au voxox au magic app
 
Hapo unaongelea app inayotumia SMS gateways na API's kama Clickatell (mfano apps kama WhatsApp zinapotuma verification message kuverify phone number yako)

Huu mfumo wa kutuma SMS kwa Internet upo. Kwahiyo nadhani kutakuwa na app ya kufanya hivyo ila naamini itakuwa ya kulipia.

Ila kutuma na kupokea (two way messaging) una special requirements na costs lakini inawezekana kuna apps zilizoimplement tayari.

Bila kusahau, such an app can be created upon request.
 
Kutuma SMS huwezi kumkwepa cellular provider hata uwe na app gani, ndio maana gharama iko pale pale.
 
Back
Top Bottom