Nina Samsung ch@t222 GT-E2222, nimefanya master reset leo baada ya kuzima haijawaka tena, ina switch ON na OFF muda wote hadi utoe battery. Msaada nitawezaje kuiwasha tena. cc Chief-Mkwawa
Heshima kwa wote wana jamiiforum.Simu yangu Samsung E2222 haikubali kuonyesha Video za Youtube.Kila nikitaka kuangalia inaandika NOT SUPPORTED CONTENT. Kama simu inauwezo naomba maelekezo.Amani...
Msaada wa kiufundi, Lenovo yangu housing yake imeharibika, Je naweza pata housing nyingine kwa fundi, yeyote amjuaye fundi au sehemu ya kupata huduma hiyo anijuze
Habari zenu wakuu,
Natumia simu aina TECNO L6, lakini shida kubwa ninayokutana nayo ni pale ninapojaribu kuseti Launcher nyingine kama Go, TSF, Smart etc kuwa Default Launcher.
Kila ninapo reboot...
Nina simu yangu VIWA MAX 5 napenda sana ni-uninstall built-in apps kwenye simu yangu maana sipeendelei ziendelee kuwemo kwani sizitumii na zinahitaji updates mara kwa mara. mfano Twitter, maps...
Wakuu hili tatizo limeanza kama miezi miwili iliyopita.nilikuwa nimeichomeka nasikiliza mziki kwenye sabufa.ghafla simu ikazima na nilipoiwasha nikaichomeka kwenye sabufa ikagoma kutoa mziki I...
Nimepatwa na msiba wa kaLumia kangu, kioo kimepasuka natafuta sehemu ninapoweza kuipeleka ikarekebishwe na pia ningependa kupata na makadirio ya gharama zake, nipo Dar Es Salaam.
Habari zenu wana tech, Nilikuwa na maswali machache ambayo ningeomba ufafanuzi wake, kwanza Katika kusafirisha umeme mkubwa yani High voltage kuanzia 33 au 66KV tunaweka neutral? yani kunakuwa na...
Cm yangu ya blackberry huwa inakuwa ya moto sana ninapoiweka kwenye chaji, inakuwa ya moto sana na inaendelea kuwa ya moto hadi chaji iishe ndani ya dakika 10 ndo inapoa. Naombeni msada wenu wa...
Wakuu vipi mimi nina samsung Gt-S7580 nikitaka kudownload games inadownload mpaka 100% then katika install inaandika could'nt install on usb or sd card so cjui tatizo linaweza likawa wapi wakuu
Msaada jamani kuna simu ya jamaa yangu tecno h6 cha ajabu icon ya app ya messege imepotea kwahiyo hata akitumiwa sms hawezi kuzisoma na wala kutuma nimemwambia ajaribu kwenda kwenye call list...
The moon is surrounded by a permanent dust cloud likely caused by comet particle collisions, new observations reveal.Data from NASA's Lunar Atmosphere and Dust Environment Explorer (LADEE), a...
Natafuta hio software complete as laptop yangu imecrash na nikaformat so ningependa kupata na kuinstall it again.
Tuwasiliane anayejua wapi nakoweza na naipataje?
Ngamba
1) Nina dell c610, mwanzoni ilikuwa INA access vizuri DVD/CD na modem ilikuwa inasoma lakini naamini kuna kiumbe ame uninstall baadhi ya vitu kwa sababu CD haisomi tena wala modern haidetect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.