Wakenya nawapongeza kwa wanavojituma, these guys wanajua umuhimu wa technology ndo maana wanaipush forward kila angle, ndani ya miaka 10 hawa jamaa si developing country tena, utawasikia wanafukuzia uchumi wa nchi kama s.korea... ngoja bongo tujivute kwanza wenzetu wameanza kukimbia, tukija kuanza kutembea watakua washakufa na njaa wengi tu.