wataalamu wa rangi

wataalamu wa rangi

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Kwa wale wataalamu wa kupaka rangi nyumba ninaomba kuuliza,je! unaweza kubadilisha rangi ukuta uliopaka rangi ya pink na kupaka broken white!
 
Mim si mtaalamu lakin najua kwamba ukitaka kubadili rangi ya nyumba yako Always lazima upige nyeupe kwanza alafu rangi zingine ndo zije ambayo unataka kama ni redi au maron au zingine unazojua wew....
 
nimeuliza ukuta ambao ulishapakwa rangi hiyo ya pink tayari sasa unataka kubadilisha rangi ya broken white
 
Mkuu wew ni Mkenya au Ni Mzungu mbona nimeandika kiswahili safi... Lazima upige nyeupe kwanza alafu ndo uweke hiyo broken white unayosema alafu hizo broken white unapiga nyumba nzima au jikoni tu!! mana naonaga white broken ni jikoni sana sana
 
Back
Top Bottom