Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
salam wakuu.
naombeni msaada wa ku-unbrick hii tecno p5.
iko hivi,nilifanikiwa kuflash custom rom kwa h5 na mwenzangu akaomba nimuwekee kwa p5.
ishu ni kwamba p5 kila nikijaribu kuweka custom recovery kwa kutumia mobileuncle na rom manager ikawa inagoma,ikabidi niweke custom recovery kwa kutumia mtk droid tool.
nikafanikiwa kupata custom recovery ila only nikiwa nimeconnect na pc..nikafanya flashing ya rom mpya ila ilipomaliza ktk ku boot inaboot na inaishia kwenye logo peke yake kisha inazima na kuwaka tena.
nilikuwa nimefanya backup ya stock rom before anything kwa mtk lakini kila nikitaka kuflash preloader.bin through sp-flash tool nikifika ktk kukonect simu,zoezi halikamiliki coz simu inawaka na kuzima tu kila baada ya sekunde..
je wakuu nifanyeje???:sad::sad::sad:
cc: Chief-Mkwawa mwl rct @c6 ymollel khalfan56

Last edited by a moderator: